Video Mpya: GODDIE -SUNSHINE

Unaipa Nyota Ngapi?

User Rating:
0 ( 4 Votes )

Video mpya kutoka kwa mkali kutoka kwa mji kasoro (Mweeh Town). Video imefanywa na mwongozaji machachiri GQ.

Tazama video hii kisha tuambie maoni yako hapo chini.