Video: Dyna Nyange ft Billnas-Komela

Unaipa Nyota Ngapi?

1.8 Bad
User Rating:
1.8 ( 5 Votes )

Baada ya muda kupita hatimaye Dyna Nyange ameamua kufyatua video ya Komela. Tazama hiki kideo kisha tuambie umeona mabadiliko gani ukilinganisha na video zake zilizopita kisha unaweza kuirate ngoma kuonyeza umeikubali kwa nyota ngapi. Pongezi kwa Mwongozaji Ivan kwa kazi nzuri 👍🏽.