Rama Dee Juu ya Mdundo Wa Singeli Cheki Kichupa Chake Hapa

Mkali wa miondoko ya RnB nchini ameonyesha uwezo wake baada ya kuamua kufanya wimbo kwa style mpya ambayo imeshika mtaa (Singeli). Tazama hapa kichupa hiki alichomshirikisha mkali wa singeli Young Yuda, kisha tupia maoni yako kama ametisha au lah!