Stereo Ajibu hoja ya watu kudhani Wasafi ni jamii ya wapenda kiki

“WCB si jamii ya wapenda kiki” Stereo

Stereo ni rapa ambaye alikuwa ni moja ya wakali ambao wanaunda kundi la Tamaduni Muzik ambalo lilikuwa likiongozwa na mtayarishaji wao Duke Touchez.

Tangu kutoka kwa wimbo wa ‘Mpe Habari’ akiwa Stereo na Rich Mavako kumekuwa na sintofahamu juu ya msanii Stereo kusaini juu katika  Label ya Wasafi.

Stereo amegoma kuzungumzia swala la yeye kusaini Wcb ambapo amesema hana mamlaka  ya kuzungumzia swala hilo bali mhusika mkuu Diamond Platnumz.

Ila Team Tizneez haikusita kuhusua kumuuliz juu ya kuwa karibu na jamii ya Wasafi huku katika mitaa ya wapenda muziki wa kizazi kipya wakiamini kuwa jamii ya Wcb ni jamii ya wapenda kiki hivyo maisha yake yatakuaje?

Ambapo Stereo ameeleza

Sikiliza hapa chini.

 

Attachment