Nandy Aeleza kama ni sawa au si sawa kufanya muziki kwa kiki

Nandy Aeleza kama ni sawa au si sawa kufanya muziki kwa kiki.

Kiki imeendelea kuwa mtoto mwema katika muziki wa kizazi kipya, ilihali ni mtoto mbaya aliyegeuka kuwa mwema katika kuharibu muziki wa wasanii wengi katika kukosa ubunifu wa kazi na kuhamia katika kiki.

Team tizneez ilipata wasaa mzuri wa kuongea na Nandy ambapo hakusita kuweka wazi mtazamo wake juu ya wasanii kufanya kiki.

Akiongea na team tizneez hakusita kueleza kama ni sawa au si sawa kufanya muziki kwa kiki, ambapo amesema

Sikiliza hapa chini.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa