“Naandika ya Nash Mc ni moja ya traki bora za hiphop” Nikki wa pili.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya chini ya mwamvuli wa hiphop Nikki wa pili ameweka wazi hisia zake juu ya wimbo wa Nash Mc ‘Naandika’.

Kupitia mtandao wa Twitter kwenye ukurawa wake ameandika “Naandika Nash Mc moja ya traki ya bora kabisa za hiphop”

Utazame hapa wimbo huo wa Naandika wa Nash Mc ambao ulitoka mwaka 2014. Ambapo mara zote sisi husema kuwa ni wimbo bora wa hiphop nyakati zote.