DIAMOND PLATNUMZ NA SALAMU ZAKE KWA IDRIS

diamond-1940x720

Nasseb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ambaye kwasasa ndiye kinara wa Bongo Fleva.Diamond ambaye pia kwasasa anaongoza kuwa na tuzo nyingi za kimataifa kuliko msanii yoyote wa Bongo Fleva.

Mapema jana Diamond kupitia mtandao wa picha Instagram alimtumia salamu Idris Sultan za mfanano wa siku wa kuzaliwa ambapo aliandika “Mtoto wa Mzee Sultan Leo Amezaliwa…. now let’s all drop our Wishes Abi”

Kitendo hiki kimeonyesha wazi kuwa Diamond Platnumz hana tatizo na Idris ambaye amekuwa mpenzi wa Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz. Walio wengi walikuwa wakidhani kuwa amsanii huyu ana tatizo na Idris, hii ni baada ya siku chache nyuma kuliwekuwepo na kutupiana maneno baina ya Zari na Wema.

IDRIS

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez