Fahamu kundi pekee la hiphop kutoka tanzania linalofahamikia nje ya nchi.

Tizneez #ThrobackMusic leo tumetazama kundi la X Plastaz Maasai ambapo mwaka 2003 waliweza kufanya show nje ya Tanzania na sasa wanabaki kama kundi pekee ambalo linafahamika nje ya nchi kwa namna ya matamasha ambayo wameweza kufanya.
Historia hizi ni ngumu kuzungumziwa katika media zetu, hivyo kizazi cha instagram hakijua wala hakithamini mchango wa hawa watu.
Lakini kwenda kimataifa haijaanza leo wala jana ni tangu miaka ya zamani. leo tuwatizame hawa lakini wakati wowote tutazungumza juu ya Mr II kuwa msanii wa kwanza kufanya tumbuizo nje ya nchi mwaka 1998 na Oliver Mtukuz nchini Uingereza.

Tour hii ya X Plastaz Maasai Hip Hop tour 2003 – Belgium, Holland, UK
Tazama hapa chini.