Fahamu kuhusu Album ya Zay ya mwaka 2002.

Fahamu kuhusu Album ya Zay ya mwaka 2002.
Zay B  ni msanii wa hiphop ambapo miaka ya 2000 aliweza fanya vizuri katika uwanja wa muziki wa kizazi kipya. Na mwaka 2002 aliweza kutoa album yake ya kwanza ambayo inaitwa Mama Afrika.

Kwenye album hii kuna  nyimbo 9 ambazo ni.
1.Niko Gado feat. Sir Nature
2.Kazi sio kelele feat. Jahfarai & Suma G
3.Siwezi Kuacha
4.Si Mali Kitu
5.Njoo Kati feat. AY & Complex
6.Nimefika feat. Computer
7.Nenda
8.Hatari Kitu Gani feat. Jay Moe
9.Mama Afrika.

 

Licha ya muziki wa sasa kukosa album lakini ni wazi album ni moja njia ya msanii kuwa na heshima kubwa kwenye maisha yake ya muziki.