BLACK BEUTY MODEL (BBM) NGWEAR FEAT DIAMOND $MR BLUE

Albertmangwea

NI miaka miwili tangu msanii wa muzika wa bongo fleva Arbelt Mangwear kufariki dunia tarehe 28.5.2013 inchini south Africa.
nyimbo hii ilitengenezwa na producer P funk Majani ndani ya studio za Bongo recods.
Ambapo pia album ya AKA MIMI ilifanyika hapo ambayo ndio album pekee iliyompa umaarufu mkubwa katika muziki wa bongo fleva.
REST IN PEACE ARBERT MANGWEAR.1983-2013.