Tags Archives: Window

Mziki na Ujasiriamali.

Sanaa ni hazina na urithi, urithi huu tumeedelea kuupokea kama kijiti kutoka kizazi kimoja mpaka kingine. Ni kitu kizuri kuona mziki unakuwa na kwa kasi, kadri miaka inavyokimbia. Kutoka kuimba kwa kutumia ala za asili kama malimba, zeze na ngoma mpaka sa ...

JINSI TEKNOLOJIA ILIVYOPIGA TAFU MZIKI WETU.

Teknolojia ni kitu ambacho kimeendelea kukua kwa kasi hasa katika miaka ya hivi karibuni. Katika mziki tumeona jinsi ambavyo teknolojia imepiga tafu tasnia hii. Katika miaka ya 90 ambapo Bongo Flava ilizaliwa, changamoto zilikuwa nyingi katika kuandaa mzi ...