Tags Archives: video

Video Mpya: MTUMBA – Juma Nature.

Mkali wa Bongo Fleva ambaye ni miongoni mwa wachache waliofanikiwa kuendelea kuwepo kwenye aina hii ya mziki tangu kuanzishwa kwake Juma Nature amekuja na kideo hiki kipya. Chukua muda wako kukitazama kisha dondosha mtazamo… ...

Inashangaza kumshangaa Baraka Da Prince.

Inashangaza kumshangaa Baraka Da prince Huwezi kutaja majina ya wasanii chipukizi wanaofanya vyema katika ramani ya muziki wa kizazi kipya bila kutaja jina la Baraka Da prince. Baraka amekuwa akifanya vizuri kimuziki ndani na nje ya Tanzania. Ni siku kadh ...