Tags Archives: uchambuzi

HAWA WASANII WAMETUACHIA FIKSI MPAKA LEO.

Na John Simwanza Tumesha zoea na imekua ni kawaida kwa msanii kuweka wazi mipango na malego yake ya mbeleni ili mashabiki angalau wapate kujua machache yatakayo jiri kwa msanii wao. Lakini huwa inakuja kuwa ni tofauti pale tu mashabiki wanapoona muda unaz ...