Tags Archives: tanzania

MYCOELY – MOVING ON ( AUDIO & LYRICS).

  Download hapa Artist : Mycoely Song : Moving on Verse 1 Nilikupa moyo wangu wote kama ulivyo (kama ulivyo)Girl Kusingekua na vyangu Tungekua na vyakwetu mimi nawe (mimi nawe) Bridge Usiku ni mwezi mchana jua moyoni ni wee taa zishaungua umeruka ume ...

Fahamu nyimbo 5 anazozikubali Chid Benz..

Fahamu nyimbo 5 anazozikubali Chid Benz. Ni katika kipindi cha Playlist kinachoongozwa na Omary Tambwe katika kituo cha radio Times Fm. Kipindi hiki huwapa nafasi watu maarufu kuchagua nyimbo 5 anbazo kwao ni pendwa. Wiki ilikuwa zamu ya Chid Benz ambapo ...

Stereo Atoa shukrani kwa Fid Q.

Stereo Atoa shukrani kwa Fid Q Huwezi kutaja wasanii bora wa hiphop bila kumtaja Fid Q. Walk it off ni wimbo wake unaofanya vyema kwenye media za ndani na nje ya nchi. Nasema ninachojua ni wimbo wake Stereo ambao alimshirikisha Fid q. Na kwa kuthamini kip ...

Taarifa muhimu kutoka kwa Baghdad.

Taarifa muhimu kutoka kwa Baghdad Tar 31 july ninatarajia kuzindua video ya wimbo wangu wa FOLENI ambao nimemshirikisha Isam Muandaaji wa kazi zangu nyingi kama Una akili wewe niliomshirikisha ROMA Ninae niliomshirikisha NANDy na nyingine nyingi. Wimbo hu ...