Tags Archives: songa

BAGDAD AWAONYA WASANII,AWEKA WAZI MTAZAMO WAKE.

Wakati kampeni rasmi za uchaguzi zikitarajia kuanza hivi karibuni na tayari watu wengi wamekuwa wakisubiri kwa hamu kusikia sera za viongozi mbalimbali ambao wamejitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali kama udiwani,ubunge na uraisi. Wasanii wengi wamke ...

MKOLONI NI VYEMA KUSHIRIKI KATIKA VITU VYA WAZI.

Kinara wa mazuki wa jumbe zenye kugusa jamii moja kwa moja kijana toka Wagosi wa kaya nae ni miongoni mwa wasanii waliokuwepo na katika tamasha la democracy in dar lilifanyika katika viwan ja vya Mbagara Zakhem Jijin Dar es Salaam. Akiongea na team tiznee ...

PROF JAY AZUNGUMZIA TAMASHA LA DEMOCRACY IN DAR.

Moja kati ya wasanii wa  walioamua kuingia kwenye siasa ni Joseph Haule a.k.a Prof Jay ambaye ameamua kugombea ubunge katika jimbo la Mikumi Morogoro kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA. Leo mapema katika hotel ya Kebby Hotel iliyopo Bamaga Dar es salaam ...