Tags Archives: ruby

‘Heri kufa macho kuliko kufa moyo’ Noorah.

‘Heri kufa macho kuliko kufa moyo’ Noorah Ice Cream ni moja kati ya nyimbo bora za wakati wote katika muziki wa kizazi kipya. Noorah ni mmiliki halali wa wimbo huu, lakini huwezi kuacha kusema ndiye msanii ambaye alileta swag za kiswanglishi. Ukimya w ...

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 6-5.

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 6-5 “Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 10-9 “Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 8-7 Part 6 Mfumo ndio tatizo kubwa maana kwanza wasanii wamekuwa wengi kuliko wadau na hili bomu tulilitengeneza wenyewe wasanii wot ...

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu ya 8-7.

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu ya 10-9 :Part 8 Kweli rec lable ziliweza kusimamia kazi za sanaa na kuanza safari ya kubadilisha mziki kutoka kwenye mfumo wa BURUDANI hadi leo tunauita BIASHARA Sasa baada ya mziki kuwa unaingiza chochote kitu wadau ...

Sijutii ya Wakazi na Ruby yasogezwa mbele..

Sijutii ya Wakazi na Ruby yasogezwa mbele. Wiki kadhaa nyuma Team Tizneez tuliweka picha juu ya utengenezaji video ya sijutii remix ambayo ni wimbo wa Wakaza akimshirikisha Ruby. Mapema leo Wakazi ameiambia Team Tizneez kuhusu video hiyo ambapo amesema ...

‘Subira yavuta kheri’ Mkubwa Fella.

‘Subira yavuta kheri’ Mkubwa Fella Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella ambaye ni moja kati ya wadau wanaomiliki wasanii wengi katika ramani ya muziki wa kizazi kipya. Mapema leo hakusita kuonyesha nyumba ambazo amewakabidhi vijana wake wa Yamoto Band ...

MID YEAR TOP 10 (Audio).

Karibu katika top 10 ya nusu mwaka,zifuatazo ndio ngoma kumi zilizobamba zaidi katika kipindi cha mwezi januari hadi mwezi mei 2015. 1.Shetta ft Kcee- Shikolobo 2.Ali Kiba- Chekecha Cheketua 3..Ruby- Na yule 4.Diamond-Nana 5.Fid Q-Bendera ya Chuma 6.Ben P ...