
Ni ngumu kurudi kufanya kazi na Tiptop Connection- Cassim Mganga.
Ni ngumu kurudi na kufanya kazi na Tiptop Connection- Cassim Mganga Haiwezekani ni wimbo ambao ulimtambulisha vyema Cassim Mganga kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Tiptop Connection ni moja kati ya makundi makubwa ambayo yamewahi kuwa na wasanii we ...