Tags Archives: o

Sijutii ya Wakazi na Ruby yasogezwa mbele..

Sijutii ya Wakazi na Ruby yasogezwa mbele. Wiki kadhaa nyuma Team Tizneez tuliweka picha juu ya utengenezaji video ya sijutii remix ambayo ni wimbo wa Wakaza akimshirikisha Ruby. Mapema leo Wakazi ameiambia Team Tizneez kuhusu video hiyo ambapo amesema †...

Kwanini wasanii wengi hawawekezi nje ya muziki?.

Kwanini wasanii wengi hawawekezi  nje ya muziki? Muziki wa kizazi kipya umeendelea kukua siku baada ya siku, ila moja ya changamoto ambayo inaowakumba wasanii ni kuto kuwekeza nje ya muziki. Swala la kuwekeza nje ya muziki ni jambo jema, maana hata kama ...