Tags Archives: mwanza

Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi.

Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi Ni moja kati ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya mwenye misimamo ndani ya muziki na nje ya muziki. Muite Mgosi  Mkoloni ambaye pia na mwenzake Dk John wanaunda kundi la wagosi wa kaya, na kupitia katika mtandao wa Face ...

Inashangaza kumshangaa Baraka Da Prince.

Inashangaza kumshangaa Baraka Da prince Huwezi kutaja majina ya wasanii chipukizi wanaofanya vyema katika ramani ya muziki wa kizazi kipya bila kutaja jina la Baraka Da prince. Baraka amekuwa akifanya vizuri kimuziki ndani na nje ya Tanzania. Ni siku kadh ...