Tags Archives: mkoloni

Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi.

Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi Ni moja kati ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya mwenye misimamo ndani ya muziki na nje ya muziki. Muite Mgosi  Mkoloni ambaye pia na mwenzake Dk John wanaunda kundi la wagosi wa kaya, na kupitia katika mtandao wa Face ...

Hiphop Kwanza Concert ni mfano bora wa kuigwa..

Hiphop kwanza concert ni mfano bora wa kuigwa. Malalamiko juu ya kubaniwa muziki wa hiphop kwenye vyombo vya habari yamekuwa makubwa kwa nyakati hizi. Ila katika uhalisia wasanii wa hiphop ni wasanii wenye nguvu katika jamii pia muziki wao. Njia pekee ya ...