Tags Archives: mixtape

‘Subira yavuta kheri’ Mkubwa Fella.

‘Subira yavuta kheri’ Mkubwa Fella Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella ambaye ni moja kati ya wadau wanaomiliki wasanii wengi katika ramani ya muziki wa kizazi kipya. Mapema leo hakusita kuonyesha nyumba ambazo amewakabidhi vijana wake wa Yamoto Band ...

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa”.

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa” Nimezungumza na Ferooz takribani dakika 5, moja ya swali ambalo nilimuuliza anadhani ni kwanini hafanyi vizuri kwenye huu muziki mwepesi wa bongo fleva sasa? Hakusita kuweka wazi ambapo amesema “Kwenye muzi ...

Mapacha Na maamuzi ya kuja na njia za panya..

Mapacha Na maamuzi ya kuja na njia za panya. PKP ikiwa na maana ya Pasu Kwa Pasu waite Mapacha Maujanja Saplaya ambao ni moja kati ya wakali wa muziki wa hiphop, pia ni wanaharakati ambao kupitia project yao ya Ant Virus waliweza kubaadilisha mengi mabaya ...