Tags Archives: mbilinyi

Mr II Sugu Aingia tena studio..

Mr II Sugu Aingia tena studio. Freedom ni wimbo wake alitoa mapema mwaka huu, ambapo hakika umefanya vyema wakati wengi wakifurahia maisha ya msanii huyo mkongwe mwenye misimamo mingi yenye tija. lakini pia ni Mh Mbunge wa Mbeya Mjini na jina lake halisi ...