Tags Archives: madee

‘Msitu mnene haukosi vibweka’ Madee..

‘Msitu mnene haukosi vibweka’ Madee. Ya nini tuutukuze uongo ilihali tu tuchekeane kiunafiki? Ni wazi hapa ni mahala pakusema ukweli wakati wote bila kujali nani ni nani. Ingawa kwenye uhalisia “Ukweli unauma” lakini msisahau pia ukweli ni dawa. K ...

Basata Yampa majibu Madee..

Ni muda mfupi Madee amesikika kwenye kituo cha radio Clouds Fm akieleza kile anachokiona juu ya ufungiwaji wa nyimbo za wasanii. Kupitia mtandao wa Twitter katika ukurasa wa Basata wamemjibu Ambapo wameandika ” Soma chini hapa Tweet za Basata. www.t ...