Tags Archives: madawa

Fahamu nyimbo 5 anazozikubali Chid Benz..

Fahamu nyimbo 5 anazozikubali Chid Benz. Ni katika kipindi cha Playlist kinachoongozwa na Omary Tambwe katika kituo cha radio Times Fm. Kipindi hiki huwapa nafasi watu maarufu kuchagua nyimbo 5 anbazo kwao ni pendwa. Wiki ilikuwa zamu ya Chid Benz ambapo ...