
Kila msanii na Record Label, Je wanajua maana, na uendeshaji wake?.
Kila msanii na Record Label, Je wanajua maana, na uendeshaji wake? Tumeona kila msanii akihojiwa kwenye vyombo vya habari husema nafungua Record Label yangu, lakini kiuhalisia wengi wao hawajui maana wala uendeshaji wa Label hizo.Isipokuwa ni kwenda na ka ...