
“Young Killer na Uongozi wake wote ni vipofu watadumbukia shimoni, maana kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake”.
“Young Killer na Uongozi wake wote ni vipofu watadumbukia shimoni, maana kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake” Waswahili husema “Mwenye pupa hadiriki kula tamu” lakini daima haraka haraka daima haina Baraka. Hatuachi kusema wakati wote yakuwa ...