Tags Archives: kalapina

Wasanii wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Wasanii wanaangamia kwa kukosa maarifa Swala la kuambiana ukweli ni jambo jema na zuri, na kuelezana ukweli yapasa iwe katika kila siku katika namna yoyote ya maisha yetu. Kuwa na maarifa inafanya uweze kufanikiwa katika mambo yote ambayo utakuwa ukifanya ...

Kacci Awatupia lawama wasanii wa Morogoro.

Kacci Ni moja kati wa wasanii wanaofanya vyema pande Morogoro, ambaye pia ndiye msamaji wa kundi la Team Recers ambao waliwahi kufanya vyema na nyimbo kama Tunavuka mipaka, washa washa, ngoma moja na nyingine nyingi. Townson ni wimbo wake unaofanya vyema ...

Kalapina Akosoa ujio wa Chid Benz..

Kalapina Akosoa ujio wa Chid Benz. Mstari wa mbele ni wimbo wake uliompatia umaarufu mkubwa katika uwanja wa muziki wa hiphop. Kalapina ambaye sasa amekuwa akifanya harakati nyingi katika kuikomboa jamii kwenye swala zima la matumizi ya madawa ya kulevya. ...