
Bob Junior Aeleza kifo cha Ude Ude na wimbo aliowahi kumuandikia Lady Jaydee.
Bob Junior Aeleza kifo cha Ude Ude na wimbo aliowahi kumuandikia Lady Jaydee Jana jioni kulikuwa na taarifa ambazo zilisambaa mtandao na kwenye magroup ya WatsApp juu ya kifo cha msanii na mtunzi wa muziki wa kizazi kipya. Mapema leo Team tizneez akiongea ...