Tags Archives: joh

Chid Benz Yupo sawa kweli?, au ndiyo mfa maji?.

Chid Benz Yupo sawa kweli?, au ndiyo mfa maji? Ni wiki 1 tangu team tizneez kuandika makala ya Wimbo wa Joh Makini “Ufalme”ni jibu tosha kwa Chid Benz. Makala hiyo ilikuja baada ya Chid Benz kuongea mambo ambayo hayakuwa mazuri juu ya Joh Makini lakin ...