Tags Archives: fleva

Mwana FA-DUME SURUALI (Mashairi).

Artist: MWANA FA Song: DUME SURUALI Hudat hudat hii ni salam na ufahamu Kama unauza mapenzi sio kwa binam Hakuna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu Dume suruali Dume kaptula Shauri zako mradi sipati hasara Usi ...

Video Mpya: MTUMBA – Juma Nature.

Mkali wa Bongo Fleva ambaye ni miongoni mwa wachache waliofanikiwa kuendelea kuwepo kwenye aina hii ya mziki tangu kuanzishwa kwake Juma Nature amekuja na kideo hiki kipya. Chukua muda wako kukitazama kisha dondosha mtazamo… ...