
NANI ALAUMIWE KATI DOGO JANJA,MADEE NA BABU TALE?.
NANI ALAUMIWE KATI DOGO JANJA,MADEE NA BABU TALE? Ni wiki 7 kama sio 8 tangu kutoka kwa wimbo wa My life wa mkali Dogo Janja ambaye yuko chini ya Tiptop Connection. Hakika alikata/amekata kiu ya mashabiki hata wapenzi wa muziki wa kizazi kipya katika ujio ...