Tags Archives: Diamond Platnumz

“Ili muziki ukulipe ewe msanii”.

“Ili muziki ukulipe ewe msanii” Malalamiko juu ya wasanii ni mengi kuwa muziki haulipi, huku wachache wakionekana wakifaidika Zaidi na muziki huu wa kizazi kipya. Tuzungumze Muziki ni kauli mbiu yetu na hapa tupo shauri ya Bongo Fleva na Hiphop, hivyo ...

Fahamu nyimbo mbili zilizopotezwa na kiki..

Fahamu nyimbo mbili zilizopotezwa na kiki. Neno kiki limeibuka miaka kadhaa nyuma ni katika miaka ya 2013 lakini 2016-2017 kiki imechukua nafasi kubwa katika muziki wa kizazi kipya. Katika uhalisia kiki zimeharibu mno muziki, lakini pia kiki imeharibu hes ...

“Ali Kiba ni kutwa mara tatu”.

Ali Kiba ni kutwa mara tatu. Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda. Na mbaya zai ...