Tags Archives: chekecha cheketua

ALLY KIBA AVUNJA UKIMYA WA VIDEO YA CHEKECHA CHEKETUA.

Baada ya muda mrefu tangu kutoka kwa hit song ya chekecha cheketua ya Mkali Ally KIba aka King Kiba ameamua kuvunja ukimya wa video hiyo baada ya kutinga nchini South Africa na kuanza kufanya video hiyo na Director Mejialabi wa kampuni ya JM Film.Na hapa ...