Tags Archives: Cha

Video Mpya: MTUMBA – Juma Nature.

Mkali wa Bongo Fleva ambaye ni miongoni mwa wachache waliofanikiwa kuendelea kuwepo kwenye aina hii ya mziki tangu kuanzishwa kwake Juma Nature amekuja na kideo hiki kipya. Chukua muda wako kukitazama kisha dondosha mtazamo… ...