Tags Archives: bongo.fleva

“Ili muziki ukulipe ewe msanii”.

“Ili muziki ukulipe ewe msanii” Malalamiko juu ya wasanii ni mengi kuwa muziki haulipi, huku wachache wakionekana wakifaidika Zaidi na muziki huu wa kizazi kipya. Tuzungumze Muziki ni kauli mbiu yetu na hapa tupo shauri ya Bongo Fleva na Hiphop, hivyo ...

‘Msitu mnene haukosi vibweka’ Madee..

‘Msitu mnene haukosi vibweka’ Madee. Ya nini tuutukuze uongo ilihali tu tuchekeane kiunafiki? Ni wazi hapa ni mahala pakusema ukweli wakati wote bila kujali nani ni nani. Ingawa kwenye uhalisia “Ukweli unauma” lakini msisahau pia ukweli ni dawa. K ...

Lamar Akanusha taarifa za kumchukua Chid Benz..

Lamar Akanusha taarifa za kumchukua Chid Benz. Kumekuwa na mambo mengi yanayoendelea juu ya msanii Chid Benz juu ya matumizi ya madawa ya kulevya,ambapo kusambaa kwa picha na video zake zikimuonyesha akiwa mwenye afya mbaya, na picha hizo na video kumepel ...