Tags Archives: Bongo Flava

MYCOELY – MOVING ON ( AUDIO & LYRICS).

  Download hapa Artist : Mycoely Song : Moving on Verse 1 Nilikupa moyo wangu wote kama ulivyo (kama ulivyo)Girl Kusingekua na vyangu Tungekua na vyakwetu mimi nawe (mimi nawe) Bridge Usiku ni mwezi mchana jua moyoni ni wee taa zishaungua umeruka ume ...

“Ali Kiba ni kutwa mara tatu”.

Ali Kiba ni kutwa mara tatu. Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda. Na mbaya zai ...

Video: Dyna Nyange ft Billnas-Komela.

Baada ya muda kupita hatimaye Dyna Nyange ameamua kufyatua video ya Komela. Tazama hiki kideo kisha tuambie umeona mabadiliko gani ukilinganisha na video zake zilizopita kisha unaweza kuirate ngoma kuonyeza umeikubali kwa nyota ngapi. Pongezi kwa Mwongoza ...