Tags Archives: bomba

Baghdad Aja na project maalumu kwa vijana.

Leo tar 10 mwezi wa 8 ninaachia rsmi wimbo wangu mpya uitwao Nipe Namba niliomshirikisha One Six ilioandaliwa na Abba Process. Lakini pia ninaizindua rasmi tour yangu ya SISHIKI BOMBA ambayo ninatazamia kuzunguka mikoa zaidi ya kumi Tanzania kutoa elimu k ...