
Izzo Bizness Azungumzia The Amazing na ufanyaji wake kazi na Abela.
Dangerous Boy ni wimbo wake unaofanya vyema sasa kwe ye vituo vya radio na runinga hapa nchini Tanzania. Izzo Biznees hakusita kuikweka wazi tema tizneez juu ya mapokeo ya wimbo huo, ufanyaji kazi na Abela, The amaizing na matarajio yake baada ya wimbo ...