Tags Archives: basata

Basata Yampa majibu Madee..

Ni muda mfupi Madee amesikika kwenye kituo cha radio Clouds Fm akieleza kile anachokiona juu ya ufungiwaji wa nyimbo za wasanii. Kupitia mtandao wa Twitter katika ukurasa wa Basata wamemjibu Ambapo wameandika ” Soma chini hapa Tweet za Basata. www.t ...

Fahamu msimu mpya wa Jukwaa la Sanaa.

  KALA JEREMIAH, SUPER NYAMWELA KUPAMBA MSIMU MPYA WA JUKWAA LA SANAA LA BASATA Wasanii Kala Jeremiah na Super Nyamwela wanatarajiwa kupamba msimu mpya wa programu ya Jukwaa la Sanaa ambayo imekuwa ikiendeshwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kus ...