Tags Archives: barnaba

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa”.

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa” Nimezungumza na Ferooz takribani dakika 5, moja ya swali ambalo nilimuuliza anadhani ni kwanini hafanyi vizuri kwenye huu muziki mwepesi wa bongo fleva sasa? Hakusita kuweka wazi ambapo amesema “Kwenye muzi ...

Tumia akili kwenye mchanganuo wa hoja- Baba Levo.

Tumia akili kwenye mchanganuo wa hoja- Baba Levo Mwenye hekima daima huchunga kinywa chake katika kila neno atakalo kuwa anasema, haijalishi ni eneo gani bali katika maisha yake ya kila siku. Katika ramani ya muziki wa kizazi kipya kumekuwa na jambo la ku ...

Fahamu vipengele 10 EATV Awards..

Fahamu vipengele 10 EATV Awards. Mapema leo hii kituo cha runinga EATV wametaja vipengele 10 ambavyo vitakuwepo katika tuzo zao ambazo zitaanza Desemba mwaka huu. Vipengele hivyo ni Mwanamuziki bora wa kiume Mwanamuziki bora wa kike 3. Mwanamuziki bora ch ...

Roho Lyrics by Fid Q Feat Christian Bella.

    ROHO   VERSE 1: ( FID Q)   Nilipommiss Hakutokea, ili kunigea kiss au kuni-hug/ Hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga/ Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakaniditch/ Nilisurvive vipi sikumuita 1st LOVE B@#$?/ Ninahisi. ...

Mashabiki wapuuzeni At na Peter Msechu..

Mashabiki wapuuzeni At na Peter Msechu. Leo hii ni siku ambayo wametangaza kutoa wimbo wao ambao wameshirikiana kwa pamoja. Napata mashaka kwa njia ambayo walianza kutumia juu ya kutangaza ujio huo. Ambapo walikuwa wakiandikana kwenye mitandao ya kijamii ...

Nay wa Mitego Ataja wimbo wake uliompa mafanikio..

Nay wa Mitego Ataja wimbo wake uliompa mafanikio. Nay wa mitego ni moja kati ya wasanii ambao wamekuwa na utambulisho wa nyimbo zenye maneno mengi ya kugusa watu kwa namna moja au nyingine. Mapema leo hakusita kuieleza Team Tizneez ambapo amesema “Nakul ...