Tags Archives: baba

“Wanatugawa kimakundi ili watumeze” Roma Mkatoliki..

“Wanatugawa kimakundi ili watumeze” Roma Mkatoliki. KKK ni wimbo wake Roma ambao ulifanya vyema zaidi mtaani kuliko katika vituo vingi vya radio. Hii inanifanya niendelee kuamini kauli ya King Moruo ambaye ni moja kati ya mashabiki wakubwa wa muziki w ...

“Ulizia pesa wakuzime kama taa”- Joh Makini.

“Ulizia pesa wakuzime kama taa”- Joh Makini Muziki wa kizazi kipya yan Bongo Fleva/Hiphop umeendelea kukua siku baada ya siku. Inafurahisha kuona ni jinsi gani wasanii wamekuwa wakionyesha uwezo wao katika ramani ya muziki wa afrika sasa. Inga ...

Tumia akili kwenye mchanganuo wa hoja- Baba Levo.

Tumia akili kwenye mchanganuo wa hoja- Baba Levo Mwenye hekima daima huchunga kinywa chake katika kila neno atakalo kuwa anasema, haijalishi ni eneo gani bali katika maisha yake ya kila siku. Katika ramani ya muziki wa kizazi kipya kumekuwa na jambo la ku ...