Tags Archives: at

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa”.

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa” Nimezungumza na Ferooz takribani dakika 5, moja ya swali ambalo nilimuuliza anadhani ni kwanini hafanyi vizuri kwenye huu muziki mwepesi wa bongo fleva sasa? Hakusita kuweka wazi ambapo amesema “Kwenye muzi ...

Fahamu vipengele 10 EATV Awards..

Fahamu vipengele 10 EATV Awards. Mapema leo hii kituo cha runinga EATV wametaja vipengele 10 ambavyo vitakuwepo katika tuzo zao ambazo zitaanza Desemba mwaka huu. Vipengele hivyo ni Mwanamuziki bora wa kiume Mwanamuziki bora wa kike 3. Mwanamuziki bora ch ...

Mashabiki wapuuzeni At na Peter Msechu..

Mashabiki wapuuzeni At na Peter Msechu. Leo hii ni siku ambayo wametangaza kutoa wimbo wao ambao wameshirikiana kwa pamoja. Napata mashaka kwa njia ambayo walianza kutumia juu ya kutangaza ujio huo. Ambapo walikuwa wakiandikana kwenye mitandao ya kijamii ...