Tags Archives: ali

Inashangaza kumshangaa Baraka Da Prince.

Inashangaza kumshangaa Baraka Da prince Huwezi kutaja majina ya wasanii chipukizi wanaofanya vyema katika ramani ya muziki wa kizazi kipya bila kutaja jina la Baraka Da prince. Baraka amekuwa akifanya vizuri kimuziki ndani na nje ya Tanzania. Ni siku kadh ...

OMMY DIMPOZ ft ALI KIBA.

[wpdm_package id=3490 template=”link-template-default.php”]   Nai Nai ni ngoma iliyo wakutanisha wakali Ommy Dimpoz na King Kiba siku kadhaa nyuma, pata nafasi nyingine ya kuisikiliza na kushare na washkaji kusapoti mziki mzuri. Tucheki t ...

STAMINA LIKE FATHER LIKE SON NI MIPANGO ENDELEVU.

Rapper kutoka Moro town Stamina ambaye ni kinara wa mashairi katika muziki wa hip hop hapa inchini Tanzania. Stamina ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa like father like son remix aliyowashirikisha wakali kama,Chid Benz,Fid Q,Nikki Mbishi,Son ...

HARMY B “AZUNGUMZIA YA MABESTE.

Mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Harmy B ambaye pia ni mmiliki wa studio ya B hits records zenye maskani Jijijini Dar es Salaam. Baaada ya saa chache tangu msanii aliyewahi kuwa label ya B hits records Mabeste kuandika katika mtandao wa kijamii (Inst ...

CHRISTIAN BELLA, AMPA MBINU MPYA ALLY KIBA.

Msanii anaefanya vizuri na nyimbo yake ya nani kama mama aliyomshirikisha Ommy Dimpoz,Christian Bella ambaye pia moja kati ya wasanii wanafanya vizuri zaidi katika muziki wa bongo fleva licha ya kuwa ni moja ya wasanii wanaounda Band ya Malaika yenye mask ...