Tags Archives: ali kiba

“Ali Kiba ni kutwa mara tatu”.

Ali Kiba ni kutwa mara tatu. Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda. Na mbaya zai ...

MID YEAR TOP 10 (Audio).

Karibu katika top 10 ya nusu mwaka,zifuatazo ndio ngoma kumi zilizobamba zaidi katika kipindi cha mwezi januari hadi mwezi mei 2015. 1.Shetta ft Kcee- Shikolobo 2.Ali Kiba- Chekecha Cheketua 3..Ruby- Na yule 4.Diamond-Nana 5.Fid Q-Bendera ya Chuma 6.Ben P ...