Tags Archives: album

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa”.

“Muziki wa bongo fleva/hiphop hauna usawa” Nimezungumza na Ferooz takribani dakika 5, moja ya swali ambalo nilimuuliza anadhani ni kwanini hafanyi vizuri kwenye huu muziki mwepesi wa bongo fleva sasa? Hakusita kuweka wazi ambapo amesema “Kwenye muzi ...

Mr II Sugu Aingia tena studio..

Mr II Sugu Aingia tena studio. Freedom ni wimbo wake alitoa mapema mwaka huu, ambapo hakika umefanya vyema wakati wengi wakifurahia maisha ya msanii huyo mkongwe mwenye misimamo mingi yenye tija. lakini pia ni Mh Mbunge wa Mbeya Mjini na jina lake halisi ...