Tags Archives: afande

Babu Tale Asema yake kuhusu Afande Sele.

Babu Tale Asema yake kuhusu Afande Sele Ni muda mchache umepita tangu Team Tizneez kulipoti malalamiko ya Afande Sele juu ya kutishiwa maisha na Babu Tale. Team Tizneez ilitamfuta Babu Tale ambao akiongea kwa njia ya simu amesema “ Nimemwambia lini hayo ...