
Exclusive! Adili Chapakazi Aeleza chanzo cha ugomvi wake na Wakazi na vile anavyomchukulia.
Kumekuwa na vita ya maneno kati ya wasanii wawili wa hiphop Wakazi na Adili Chapakazi. Vita hiyo ambayo chanzo chake ni kutoka kwenye group la WatApps la wasanii wa hiphop na hatimaye ikafika mpaka kwenye mtandao wa picha “Instagram” Team tizn ...