ALLY KIBA AVUNJA UKIMYA WA VIDEO YA CHEKECHA CHEKETUA

Baada ya muda mrefu tangu kutoka kwa hit song ya chekecha cheketua ya Mkali Ally KIba aka King Kiba ameamua kuvunja ukimya wa video hiyo baada ya kutinga nchini South Africa na kuanza kufanya video hiyo na Director Mejialabi wa kampuni ya JM Film.Na hapa ni baadhi ya picha hizo wakati wa utengenezaji wa video ya chekecha cheketua.KIBA 1

 

KIBA2

KIBA3