Ni lini Kassim Mganga atapewa heshima yake?.

Ni lini Kassim Mganga atapewa heshima yake? Waswahili husema “Mwenye kelele hana neno” kwa hakika ni wasanii wengi uwasikiayo si wenye muziki bali kelele nyingi ambazo ukitazama vipawa vyao ni vidogo mno. Lakini kelele zao huwatisha watu wa Media na m ...

“Maua Sama ni yeye na muziki wake”.

“Maua Sama ni yeye na muziki wake” Muziki umekua na kipimo kimoja wapo ni ongezeko la wasanii kwenye uwanja wa muziki, ingawa ni wazi wengi wamekuwa wakiharibu muziki huu. Moja ya vitu vibaya ambavyo vinaharibu muziki ni kuwepo kwa muziki na j ...