Belle 9 Nae ahoji Darassa yuko wapi?.

Belle 9 Nae ahoji Darassa yuko wapi? Kupitia mtandao wa Twitter kwenye ukurasa wake msanii Belle 9 ameandika “Darasa yupo wapi jamani? Na hakika hisia za wengi ni yakuwa amekuwa katika dimbwi la matumizi ya dawa za kulevya. Na Team tizneez tumeendel ...